Habari mpya

List ya wachezaji 40 wanaoshindania kuunda kikosi bora cha UEFA 2016

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo November 21 2016 limetaja list ya majina 40 yaliofanikiwa kuingia kwa watu watakaowania kuunda kikosi bora cha mwaka 2016 cha UEFAJoshua Kimmich baada ya kuwa na mwaka mzuri akiwa na Ujerumani na FC Bayern Munich ametajwa katika list hiyo kwa mara ya kwanza.
Magolikipa: Rui Patricio (Sporting), Keylor Navas (Real Madrid), Jan Oblak (Atletico Madrid), Gigi Buffon (Juventus)
Mabeki: Gerard Pique (Barcelona), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Toby Alderweireld (Tottenham), Sergio Ramos (Real Madrid), Raphael Guerreiro (Borussia Dortmund), Leonardo Bonucci (Juventus), Laurent Koscielny (Arsenal), Diego Godin (Atletico Madrid), Pepe (Real Madrid), Juanfran (Atletico Madrid), Dani Carvajal (Real Madrid), Jerome Boateng (Bayern Munich)
Viungo: Dimitri Payet (West Ham), Yannick Carrasco (Atletico Madrid), Paul Pogba (Man United), Riyad Mahrez (Leicester), Kevin De Bruyne (Man City), Joe Allen (Stoke), Luka Modric (Real Madrid), Aaron Ramsey (Arsenal), Toni Kroos, (Real Madrid), Andres Iniesta (Barcelona), N’Golo Kante (Chelsea), Grzegorz Krychowiak (PSG)
uefa-toty-2015-winners2015-1024x536
Jikumbushe list ya wachezaji waliofanikiwa kuunda kikosi bora cha UEFA kwa mwaka 2015
Washambuliaji: Leo Messi (Barcelona), Luis Suarez (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Zlatan Ibrahimovic (Man United), Gonzalo Higuain (Juventus) Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Neymar (Barcelona), Gareth Bale (Real Madrid), Alexis Sanchez (Arsenal), Sergio Aguero (Man City)


No comments

+255716829257