Habari mpya

BREAKING NEWS : NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018


Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofaiti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76%

Dk. Charles Msonde amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengine, (-50%)

Baraza la Mitihani nchini limewafutia matokeo watahiniwa 357, waliobainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika mwaka huu 2018

"Baraza limezuia kutoka matokeo ya watahiniwa zaidi 100 kutokana na kuugua kipindi cha mtihani na kuwapa fursa ya kufanya mtihani huo mwaka 2019" Dk. Charles Msonde.

Kuona matokeo hayo | Fungua link zifuatazo
 LINK 1: BONYEZA HAPA
LINK2: BONYEZA HAPA

TAZAMA KWA MIKOA HAPA CHINI
PSLE Results - Matokeo  ya darasa la saba Mkoa wa ARUSHAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa DAR ES SALAAMPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa DODOMA
PSLE Results - Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa IRINGAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa KAGERAPSLE Results - Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa KIGOMA
PSLE Results  - Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa KILIMANJAROPSLE Results - Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa LINDIPSLE Results  - Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MARA
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MBEYAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MOROGOROPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MTWARA
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MWANZAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa PWANIPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa RUKWA
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa RUVUMAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa SHINYANGAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa SINGIDA
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa TABORAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa TANGAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa MANYARA
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa GEITAPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa KATAVIPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa NJOMBE
PSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa SIMIYUPSLE Results- Matokeo ya darasa la saba Mkoa wa SONGWE

 

No comments

+255716829257