Habari mpya

Gari lililomteka Mo Dewji labadilishwa namba

Gari linaloaminika kuhusika kumteka mfanyabiashara MO DEWJI limetelekezwa maeneo ya Viwanja vya Gymkhana. Picha zilizotolewa jana na IGP Simon Sirro zilionesha gari hilo likiwa na namba za usajili AGX 404 MC lakini leo linaonekana limetekelezwa likiwa na namba tofauti.

No comments

+255716829257