Habari mpya

JE WAJUA?? MAJANI YA MSTAFELI NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME

Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazonkwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa.
Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo.
Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume.
Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….
Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi.
Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake.
Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi.
Kama haitoshi majani ya mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka sana.
Juisi ya tunda la mti huu hutumika kutibu Ukoma (leprosy)
Majani haya yamethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume bali na aina nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:
1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na Saratani nyingine nyingi
Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:
1. Kisukari
2. Gout (maumivu ya jongo)
3. Maumivu ya mgongo
4. Yanaongeza kinga ya mwili
5. Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
6. Kufunga choo
7. Msongo wa mawazo (stress)
8. Yanaimarisha afya ya nywele
9. Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
10. Yanaongeza afya ya ngozi
11. Mazuri kwa afya ya moyo
12. Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili
13. Dawa nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi
14. Huongeza uzalishaji wa maziwa kwa mama anayenyonyesha
15. Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
16. Hutibu maumivu ya kichwa
17. Hutibu jipu na vivimbe
18. Hutibu tatizo la kukosa usingizi
19. Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
20. Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku
Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …
Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa.
Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!
Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?
Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo bila kutangaza kwa watu.
Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa viwanda vya madawa na biashara kubwa kote duniani.
Sababu kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa kutumia mmea rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida. Matatizo mengi ya binadamu chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.
Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga hivyo. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande huu wa pili na tayari wanaona faida zake.
Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa?
Namna nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango cha juu kabisa ni kutumia juisi freshi ya majani haya. Unachohitaji ni kuwa na blenda ya umeme, maji na majani mabichi ya mstafeli.
Tengeneza juisi yako tuseme majani 6 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili (nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili.
Kama utatengeneza nyingi basi ihifadhi katika friji ili siharibike.
Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.
Unaweza pia kutengeneza chai ukitumia majani haya, unaweza pia kukausha majani yake na utwange au usage mashineni upate unga wake lakini bado juisi freshi ndiyo itakupa matokeo mazuri zaidi.
Mimi nimekupa taarifa hizo bure na wewe endelea kupeleleza zaidi na kufanya utafiti binafsi zaidi.
Dawa hii isitumike kwa watu wafuatao:
1. Wenye shinikizo la chini la damu
2. Wanaotumia dawa za hospitali za kutibu msongo wa mawazo (stress/depression)
3. Wajawazito
4. Watoto chini ya miaka miwili
5. Isitumike kwa kipindi kirefu mfululizo, iwe ni miezi miwili au mitatu na si zaidi ya hapo kwa mfululizo
6. Zingatia sana usafi wakati wa kuandaa juisi yake
7. Unaweza ukapatwa na uchovu au na hali ya kutojisikia vizuri au ukaharisha siku mbili au tatu za mwanzo wakati unaanza kuitumia hii dawa hali ambayo baadaye hutoweka
Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.
Kama unataka kujua namna ya kuandaa hii juisi wewe mwenyewe, bonyeza hapa =>https://goo.gl/VTwxht
Nipo Dar Es Salaam, napatikana maeneo ya Buza Sigara Temeke, ofisi yangu inaitwa Vctoria Home Remedy, naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar
Dawa nyingine zinazotibu tezi dume ni hizi hapa chini:
1. BAKING SODA NI DAWA NYINGINE YA ASILI INAYOTIBU SARATANI YA TEZI DUME => https://goo.gl/nyFnyH
2. MADINI YA SALINIAMU NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME => https://goo.gl/jpb2CV
3. MAFUTA YA HABBAT SODA NI DAWA BORA YA SARATANI YA TEZI DUME => https://goo.gl/8fEkZv
Jiunge na Group langu la Afya Kila Siku kwenye WhatsApp kwa ada ya sh 10000 tu kwa mwezi, nitafute WhatsApp +255769142586 na utakuwa karibu na mimi masaa 24
Naombeni watu wengine tusaidiane kujibu maswali wanayouliza wenzetu kwani peke yangu sitaweza. Pia nakushauri usome comment za wengine huenda swali lako tayari limeulizwa na kujibiwa.
Pia kama UNA USHUHUDA WOWOTE KUHUSU DAWA HII basi usisite kuusema hapa kwenye comment ili kusaidia wengine zaidi.
Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.

No comments

+255716829257