Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akiongea ibadani leo May 9, 2019 “Baba Askofu hatujafanya kazi ya kuwaandaa vijana wetu kuwa Viongozi bora, sasa tunavuna matunda yake, naomba nimuombe msamaha kijana wangu Makonda, nilimsema Simiyu mara ya kwanza, akaja ofisini analia, ameanza kujirekebisha”.
Bashiru alivyomuombea Makonda msamaha “Makonda akaja analia ofisini”
Reviewed by Chimbuko Online
on
May 10, 2019
Rating: 5
No comments
+255716829257