Zari atamani kuolewa na kuzaa tena watoto mapacha
Ni sehemu ya mahojiano na mrembo Zari the Boss lady aliyezungumza baadhi ya mambo kuhusu maisha yake na yale yanayoendelea mitandaoni ambapo amegusia swala la kufunga ndoa hivi karibuni, kuzaa tena watoto wengine, uraia wa watoto wake pamoja na mengine.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
No comments
+255716829257