MWANAMKE KUTOKA GEREZANI KUWACHAPA MASHAHIDI WA KESI YAKE.
Hii ni kutoka Kawe, Dar es saam..! mtuhumiwa baada ya kuachiwa huru kutoka Gerezani Segerea, karudi nyumbani na kuanza kutembeza kipigo kwa wale wote waliohusika kutoa ushahidi kwenye kesi yake.
Moja ya tukio lililowashtukiza wengi ni alipochukua panga na kumkata mapanga shahidi aliyekuwa karibu naye, hapa nakusogeza karibu na majeruhi aliyekatwa vidole.
“Nilikuwa naweka maji kwenye mboga, mara akatokea na panga kisha akaanza kunikata vidole, kosa akidai eti kwanini nilienda kutoa ushahidi..”
“Baada ya hapo majirani walitokea na wao wakaanza kumshambulia kwa kipigo, baadae akafanikiwa kukimbia na mimi nikaenda kuripoti Polisi ”
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa; fuata link hii..http://www.hulkshare.com/newsroomtza/hakaheka-feb-9
source: Hekaheka/Clouds fm.
No comments
+255716829257