Habari mpya

MTAZAME CHID BENZ ANAVYOONEKANA BAADA YA KUTOKA SOBER..

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.
Hizi ni picha tatu ambazo Chid Benz alizipost katika account yake mpya ya instagram @officialchidibeenz  ambayo ilifunguliwa jana June 15 2016, toka ameifungua hiyo account hadi leo June 16 2016 saa 13:00 ilikuwa imepata jumla ya followers 17.1k.
1
2
CHANZO: Millardayo.com

No comments

+255716829257