Habari mpya

KITAMBO/ OLD SKUL: AUDIO | King Crazy GK ft Pauline Zongo - Kosa langu

Image result for GK NITAKUPA NINI
Unapozungumzia wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa nyumbani Tanzania huna namna yakukwepa kumtaja yule mfalme wa kundi la East Cost, King crazy GK ambaye alifanya vizuri sana na albamu yake iliyokwenda kwa jina la NITAKUPA NINI? ikiwa imebeba nyimbo zote kuntu ikiwemo hii ya kosa langu ikiwa imebeba ujumbe mzito juu ya gonjwa hatari la ukimwi, nyimbo nyingine katka albamu hii ni pamoja na Tutakukumbuka ukiwa ni wimbo mwingine uliomuhusu “mshkaji” wake aliyefariki kwa ajali ya gari pamoja na sister sister,Malaika,Hii Leo,Nitakufaje,Miiko 10 ya Rap, Nitakupa Nini Mama na nyingine nyingi. #ASALIZAKITAMBO
SIKILIZA HAPA CHINI..

No comments

+255716829257