Habari mpya

Tanzia : Prof Jay afiwa na baba yake mzazi

Baba Mzazi wa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof. Jay)amefariki dunia akiwa katika Hospital St. Kizito Mikumi wakiwa katika mipango ya kumpeleka Muhimbili.
Prof. Jay amethibitisha kifo cha Baba yake katika mawasiliano aliyoyafanya kwa njia ya simu akiwa Dodoma.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA MAWASILIANO HAYO HAPA CHINI

No comments

+255716829257