Habari mpya

Waziri Lugola afanya haya mbele ya Rais Magufuli

Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli inaendelea katika Mkoa wa Mara na leo amesimama na kuzungumza na Wananchi wa Nyamongo Wilayani Tarime.
Rais aliwapa fursa Mawaziri waliopo katika ziara hiyo kuzungumza na Wananchi ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ilipofika zamu yake akamuagiza RPC wa Kanda Maalum ya Tarime Rorya kumkata Mwenyekiti.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257