Habari mpya

JPM AMTEUA KANGI LUGOLA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AKICHUKUA NAFASI YA MWIGULU NCHEMBA

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali pamoja na kufanya mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri, baadhi ya mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo, Rais amemteua Mhe Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ambapo awali alikuwa Waziri ofisi ya Rais muungano na Mazingira, pia amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa maji na umwagiliaji, amemteua Mhandisi Isack Kamwelwe kuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257