Habari mpya

Hivi ndivyo Wabunge walivyotokelezea kwenye maonesho ya mavazi Dodoma

Inawezekana umezoea kuwaona viongozi mbalimbali wakiwemo Wabunge wakiwa tu kwenye majukumu yao ya kikazi na hujabahatika kuwaona katika upande wao mwingine wa maisha ya kawaida, leo nimekusogezea muungano huu wa Wabunge walipokuwa kwenye maonesho ya mavazi katika hafla ya uchangishaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya mfano kwa matumizi ya mtoto wa kike mashuleni. Tukio hili lilifanyika katika viwanja vya Bunge mkoani Dodoma.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

No comments

+255716829257