Habari mpya

Bakharesa Group Kuja na Mtandao wa simu..


Mfanyabiashara maarufu Tanzania Saidi Salim Bakharesa, ametangaza kufungua kampuni ya mawasiliano ya simu nchini Tanzania miezi michache ijayo na kampuni hiyo itaitwa AZAM TELECOM.
.
Imeripotiwa kwamba 'Bakharesa Group Corporate Affairs' kupitia Director wake Hussein Sufian Ally.Amesema kuwa kampuni hiyo itakuwa ndani ya Bakharesa Group na baadhi ya mambo yashakumilika na itakuwa yenye kasi ya 4G.
Chanzo #TheCitizen


No comments

+255716829257