Habari mpya

BREAK NEWS: Magari manne yagongana mkoani Mbeya



Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Mbeya ni kuwa magari matatu  yamegongana eneo la Mbalizi mkoani Mbeya ambapo Hiace Tatu zimegongana na lori moja na watu kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha. Akizungumza kwa njia ya Simu na Radio One Sterio, Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Amos Makala amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
TAZAMA PICHA HAPO CHIN








Picha na millardayo.com
TAZAMA VIDEO KWA TAARIFA KAMILI HAPA CHINI

No comments

+255716829257