Habari mpya

MB DOG ANATARAJIA KUFANYA COLLABLE NA LIL WYNE.



Kwa mujibu wa 255 ya double xxl ya clouds fm, MB DOG amesema management yake iko tayari kusimamia collable hiyo itakayo fanyika wakati wowote kutoka sasa.Fans wa hit maker huyo wa Latifa na aliyekuwa miongoni mwa waasisi wa kundi la mziki wa bongo flava la TIP TOP CONNECTION get ready kwa ujio huo mpya wa MB DOG MAN.

No comments

+255716829257