Habari mpya

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA KUTOKA KWA MWANA FA - ASANTENI KWA KUJA.

Kazi imetengenezwa pale B HITZ chini ya Hammy B  na Pancho baada ya kumalizika kwa mgogoro uliokuwepo kati ya AY&MWANA FA na label hiyo..enjoy mzigo mkali hatereee sana video iko tayari itakuwa released soon kwa mujibu wa  MWANA FA.
https://mkito.com/song/asanteni-kwa-kuja/17775/bwi-1-35178


No comments

+255716829257