Habari mpya

Waziri Mbarawa awasimamisha kazi wakandarasi wawili

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akiwa mkoani Dodoma ametangaza kuwasimamisha kazi wakandarasi wawili tofauti wanaojenga miradi ya maji na usafi wa mazingira ya mikoa ya Kigoma na Lindi ambao wameshindwa kukamilisha miradi hiyo kwa wakati licha ya kuongezewa muda baada ya muda uliopo kwenye mkataba kuisha

No comments

+255716829257