Habari mpya

Basata waipunguzia adhabu "MWANZA" ya Rayvanny na Diamond

Baada ya siku chache zilizopita Baraza La sanaa la taifa BASATA kuufungia wimbo was Nyegezi Mwanza wa Msanii Rayvany kutoka WCB akimshirikisha Boss wake Diamond Platnumz na pia kumtaka kuufuta Kwenye mtandao wa YouTube Rayvany alilifanikisha kuufuta.
Hatimaye umefunguliwa Baada ya ushauri kutoka kwa mjumbe wa bodi hiyo ambae ni Msanii MWANA FA kuwataka kuupunguzia adhabu.
Basata wameamua kuuachia huru wimbo huo bila sharti na unaweza kwenda kuuangalia kama kawaida kupitia YouTube.
Wimbo huu bado unashika namba moja na ume trend Tanzania na Kenya.

No comments

+255716829257