Habari mpya

BREAKING NEWS: Majambazi saba wauwawa na polisi jijini Mwanza

Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika mtaa wa Kishiri jijini Mwanza.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia blogu hii..

No comments

+255716829257