IJUE HAKI YAKO: HAKI YA KUPATA MAFUNZO KAZINI.
Kwa mujibu
wa Sheria ya Afya na Usalama sehemu ya Kazi 2003, ni wajibu wa mwajiri kutoa
maelezo, mafunzo na usimamizi kadri inavyohitajika ili kuhakikisha afya na
usalama kazini kwa wafanyakazi wake. Kila mfanyakazi aeliemishwe (juu ya) kazi
anayofaa kutekeleza, nyenzo au kifaa atakachotoa, kuzalisha, au kusafirisha au
mashine yoyote anafaa kuendesha. Lazima mafunzo yatolewe mara moja ndani ya
miaka miwili.
Chanzo: §
34 & 95 ya Sheria ya Usalama na Afya Kazini, 2003
No comments
+255716829257