Habari mpya

RC MAKONDA AHIDI MILIONI 13 KUTATUA TATIZO LA MAJI PUGU..

Ni kwenye mkutano wa hadhara Pugu Dar es salaam ikiwaa ni muendelezo wa ziara ya  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi amekutana na kero ya maji Pugu. Baada ya meneja wa mradi huo kueleza changamoto wanazozipata kwenye mradi huo na kusababisha maji kutotosheleza RC Makonda aliahidi kutoa milioni 13.

No comments

+255716829257