July 12 2016 wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Wilaya, Majiji na
Manispaa wamekula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma, shughuli hiyo
imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa
Rais John Pombe Magufuli
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Luhende Pius ambaye kumekuwa na taarifa potofu juu ya taaluma yake.
Kamishna wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst.) Salome Kaganda
Tazama video hapa chini..
VIDEO & PICHA: RAIS MGUFULI ALIVYOWAAPISHA WAKURUGENZI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM..
Reviewed by Chimbuko Online
on
July 12, 2016
Rating: 5
No comments
+255716829257