Habari mpya

Tazama msanii Riyama Ally afunga ndoa na Leo Mysterio..

              
Msanii wa filamu Riyama Ally Alhamisi hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Leo Mysterio.
Riyama akiwa akipata busu kutoka kwa mume wake Leo Mysterio
Riyama akipata busu kutoka kwa mume wake Leo Mysterio
Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa mume ambaye aliaacha naye, ameingia katika list ya wasanii wachache wa filamu waliofunga ndoa.
Leo Mysterio ambaye ni msanii chipukizi wa muziki, aliwahi kusema kuwa mahusiano yake na staa hiyo wa filamu, yalianza mwaka mmoja uliyopita.
Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu.
hhh
Riyama na Mysterio

Mvungi

chanzo: Bongo5

No comments

+255716829257