IVORY COAST: PROFESA AMBEBA MTOTO WA MWANAFUNZI MGONGONI WAKATI WA MASOMO..
Profesa mmoja wa chuo kikuu
amesifiwa pakubwa nchini Ivory Coast kwa kumbeba mtoto wa mmoja wa
wanafunzi wake mgongoni wakati wa masomo.
Picha za Honore Kahi wa chuo cha Bouake, zimesambaa pakubwa kwenye mitandao ya kijamii.Alisema aliamua kumsaidia mwanamke katika darasa lake wakati mtoto alianza kulia.
Picha zilizochukuliwa na mwanafunzi mwingine zinamuonyesha, bwana Kahi akifunza huku mtoto akiwa mgongoni.
No comments
+255716829257