Habari mpya

MKE WA MAREHEMU SAJENT KINYOGORI AKIRI KUHUSIKA KWENYE MAUAJI..

Mke wa trafiki wa usalama barabarani Sajent Ally ‘Kinyogori’ aliyeuawa hivi karibuni, inadaiwa amekiri kuhusika kwenye mauaji hayo akidai ilitokana na mumewe kumuacha na kuoa mke mwingine.
Kamanda wa Police kanda maalum ya  Dar es Salaam Simon Sirro aliwaambia waandishi wa habari  kuwa mwanamke huyo anashikiliwa na police kwa mauaji hayo yaliyofanyika nyumbanii kwa Kinyogori, Mkuranga mkoani Pwani

chanzo: millardayo.com

No comments

+255716829257