Habari mpya

LADY JAY DEE AELEZA SABABU ZAKUBADILI JINA LA BAND YAKE..

Lady Jaydee ameeleza sababu ya kubadili jina la bendi yake ya muziki iliyokuwa ikiitwa Machozi Band.
CiQ71f3WUAAXAfF
Akiongea na East Africa TV Jaydee amesema:
“Band kwa sasa haiitwi tena Machozi Band, inatwa The Band, nilibadilisha miaka miwili iliyopita na kwasababu sasa hivi mwenyewe sikutaka kuitwa binti machozi. Watu wanasema jina unaloitwa lina relate na maisha yako, so nikaamua kubadili. Kwahiyo Machozi Band haipo tena imekufa, kwa sasa itakuwa ni Lady Jaydee and The Band.”
CHANZO: Bongo5

No comments

+255716829257