Habari mpya

ZOEZI LA BOMOA BOMOA LAENDELEA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.

Zoezi hilo limeendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kama agizo la serikali lilivyosisitiza kubomoa majengo yote yalioyojengwa katika maeneo yasiyostahili ama kupigwa marufuku na serikali kama maeneo ya wazi na kwenye mabonde.


picha/millard ayo.com

index ii
Ni eneo la bonde la mto msimbazi jijini Dar es salaam.

No comments

+255716829257