Habari mpya

HII HAPA NGOMA MPYA YA TID MNYAMA AKIMSHIRIKISHA COUNTRY BOY NA BILL NASS.

Pakua na sikiliza ujio mpya wa mkali toka TOP BAND na hit maker wa nyimbo kali zilizotamba kama #zeze,siamini,nyota yako na nyingine nyingi.Hapa anakuja na collaboration aliyofanya na rapper Country Boy na Bill Nass waliyefanya naye hit#Ligi ndogo inayotamba katika station mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.Mzigo unakwenda kwa jina la Banjo.
Enjoy the song...http://old.hulkshare.com/dl/kx41yibnhmo0/TID_fEAT_Bill_Nass_na_Country_Boy_-_BANJO.mp3?d=1

No comments

+255716829257