Habari mpya

Hii hapa Taarifa ya Spika Ndugai Bungeni kuhusu kifo cha Dr. Mengi

Spika wa Bunge Job Ndugai ametoa taarifa ya Bunge ndani ya ukumbi wa Bunge kuhusu kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa IPP Media Dr. Reginald Mengi kilichotokea Dubai usiku wa kuamkia Mei 2, 2019 ambapo amewaeleza Wabunge kuhusu mchango aliokuwa nao marehemu katika Bunge na taifa kwa ujumla.

No comments

+255716829257