Habari mpya

BREAKING NEWS : Ajali mpakani mwa Rwanda na Tanzania wamefariki watu 3, 35 wamejeruhiwa



Gari la Kampuni ya Kichina inayojenga Mradi wa umeme Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda likiwa limebeba wafanyakazi na vibarua wa mradi huo limeacha njia na kupinduka na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi 35.

No comments

+255716829257