Habari mpya

Waziri Kalemani avunja bodi ya REA

Waziri wa Nishati Dkt. Medardi Kalemani amevunja bodi ya Wakurugenzi wa wakala wa nishati vijijini REA pamoja na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti na wajumbe wa Bodi hiyo kwa kile alichodai kwamba hajarizishwa na utendaji kazi wake.
 “Leo navunja rasmi bodi ya Wakurugenzi wa wakala wa umeme vijijini REA kwakuwa sijarizishwa na utendaji kazi wake kwahiyo nimeivunja na nimetengua uteuzi wa Mwenyekiti na wajumbe wa bodi hiyo ”-Waziri Medard Kalemani

No comments

+255716829257