Habari mpya

Sugu akiwasha stejini Dodoma

Usiku wa November 10, 2018 historia nyingine iliandikwa na mkongwe wa Hip Hop Tanzania Joseph Mbilinyi maarufu SUGU alipoachia burudani kwa watu wake kwenye jukwaa la Dodoma huku akisindikizwa na mkongwe mwenzie Joseph Haule maarufu Professor Jay.
Tazama full video hapa chini LIVE kupitia Ayo Tv

No comments

+255716829257