Mashindano ya Supa Nyota yamekamilika kwa Arusha na mshindi ni msanii Zido kutokea Ngarenaro ambaye alichuana na watu wasio pungua 100 walioshiriki shindano hilo lililofanyika maeneo ya soko la Kilombero Arusha, Tazama ilivyokuwa kupia AyoTv HAPA chini..
Huyu ndiye chalii ya Ngarenaro aliyeshinda Supa Nyota Arusha
Reviewed by Chimbuko Online
on
November 10, 2018
Rating: 5
Post Comment
No comments
+255716829257