Habari mpya

BIRTH DAY UPDATES : Nandy ajizawadia BMW

November 9, 2018 ilikua ni siku ya kuzaliwa African Princess Nandy ambapo ameamua kujizawadia gari aina ya BMW  pamoja nakuifanya siku hii kuwa special ya kuachia rasmi Album yake ya “The African Princess”.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Nandy ametuonyesha zawadi ya gari hilo alilojizawadia na kuandika ujumbe mrefu ikiwa pia na kuwashurkuru mashabiki zake, familia yake iliyomkuza kimuziki THT pamoja na management yake.
“HAPPY BIRTHDAY TO ME!!! Naamini kwenye kazi na jasho langu!! baada ya kazi ngumu za hapa na pale si mbaya kujizawadia kidogo ulicho nacho ila shukrani zangu za dhati kwa managment yangu, team yangu, ma fans wangu na wote walioko nyuma yangu!!!
“Media zote blogs zote, THT family.. Ni furaha kubwa sana leo kutimiza ndoto ya kuwa na Album yangu i cant wait usiku wa leo pale nextdoor arena! 🙏🏼💦#ingoditrust#privateparty#albumlistening”

No comments

+255716829257