Habari mpya

Aslay apokelewa kwa shangwe kubwa nchini Kenya

Staa wa Bongo Fleva Aslay yupo +254 Kenya kwa Uhuru Kenyatta, usipime mapokezi aliyoyapata. Nikukumbushe Aslay ni mmiliki wa hit single ya ‘ananikomoa’ inayo-trend kwa sasa na Kenya atafanya show huko Lodwar Kenya.

No comments

+255716829257