Habari mpya

Hili laweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme Tanzania

Inawezekani hii ikawa ni Good News kwa watanzania wengi baada ya Kampuni ya Emerging Marketing Power (EMP) kuanzisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo ili kupunguza kero ya umeme nchini Tanzania badala ya ule wa maji uliozoeleka huku kazi ikianza kwa mkoa wa Dodoma na mikoa jirani. Huku uwekezaji huo ukikadiriwa kuanza kwa gharama ya Bilioni 300 na kutengeneza ajira zaidi ya elfu moja.

No comments

+255716829257