Habari mpya

Haya hapa Majibu ya Msaikolojia "Chris Mauki' juu ya kinachomsumbua Dogo Janja


Baada ya kusambaa picha inayomuonesha Dogo Janja akiwa ameenda kumtembelea mtaalamu wa Saikolojia Dokta Chris Mauki kitu kilichoibua maneno ya kwamba Dogo Janja anamsongo wa mawazo uliodaiwa kusababishwa na kugombana na mke wake Irene Uwoya kisha Kutengana.
Zipo tetesi nyingi juu ya wawili hao ambao wanadaiwa kuwa kwa sasa hawaishi pamoja, kupitia Ayo Tv, Dkt. Mauki ameeleza kuhusu Dogo Janja kwenda kumtembelea ofisini kwake je ni kweli anamsongo wa mawazo unaosababishwa na ugonvi kati yake na mkewe Irene Uwoya…?
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI..

No comments

+255716829257