Habari mpya

Baraka The Prince sasa ni ABDULMALICK, abadili dini

Mwimbaji wa Bongofleva Baraka The Prince ambae ameachia ngoma mpya ya ‘furaha’ inayopatikana kwenye Youtube yake ya AfricanPrinceVEVO ameongelea ishu zake mbalimbali ambapo amekiri kwamba ni kweli amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na sasa ni Muislamu na jina lake jipya ni AbdulMalick
Tazama Video hapa chini alipohojiwa katika OnAIR ya Millard Ayo

No comments

+255716829257