Habari mpya

Serikali yasema haya kujibu tuhuma za kushindwa kutoa nyongeza kwa watumishi wa umma

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira na Vijana Athony Mavunde imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za kushindwa kutoa nyongeza kwa watumishi wake wa umma.


No comments

+255716829257