Habari mpya

Raisi Magufuli ampa laki tano kikongwe aliyenyang'ang'anywa kiwanja chake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameagiza uchunguzi ufanyike haraka ili haki ipatikane ya kwa bibi Nyasasi Masige aliyetoa madai ya kunyang’anywa kiwanja chake.
.
Tazama Video hapa chini Rais Magufuli akimkabidhi Bibi Masige kiasi cha fedha taslimu Tsh 5,00,000/= (Laki Tano) ili zimsaidie kwa matumizi mengineyo mara baada ya kusikiliza kero yake ya madai ya kiwanja.

No comments

+255716829257