Habari mpya

Mkenya avunja rekodi ya dunia mbio za Marathon

Mwanariadha kutoka nchini Kenya Eliud Kipchoge amevunja rekodi ya dunia ya Marathon kwa kukimbia kwa muda mchache zaidi.
Kipchoge amevunja rekodi hiyo ya dunia katika mbio za Marathon zilizofanyika Ujerumani kwa kuwa namba moja kwa kukimbia umbali wa Kilometa 42 kwa saa 2, dakika 1 na sekunde 42.
Ushindi huo sasa unavunja rekodi ya mkenya mwenzake Dennis Kimetto aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo ya dunia katika mbio za Berlin Marathon.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257