Habari mpya

Haya ndiyo Mashavu waliotoa Quick Racka na Barnaba kwa wasanii wachanga

Usiku wa September 29, 2018 ilikuwa ni kumbukumbu ya hatua nyingine ya kimaisha kwa baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao walikuwa wakishindana katika mashindano ya kuimba yanayofahamika kama MDUNDO NA VOKO ambapo wasanii watatu walipata nafasi ya kusimamiwa kazi zao kutoka katika label mbalimbali zikiwemo za mastaa Barnaba na Quick Rocka

No comments

+255716829257