Habari mpya

Dogo Janja asherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa Hosptitalini

 
September 15,2018 ndio siku ya kuzaliwa kwa msanii Dogo Janja ambapo amesherekea  akiwa na mashine ya kupumulia baada ya kuugua na kulazwa hospitalini.
Aidha Dogo Janja amefunguka kuhusiana  na kinachomsumbua kwa sasa.

No comments

+255716829257