Habari mpya

BOT yakanusha taarifa za uchapishwaji wa noti zenye thamani ya Trilioni 1.5


Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa iliyosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zikidai Benki Kuu imechapisha noti zenye thamni ya Trilioni 1.5 kwa ajili ya matumizi ya serikali.
Benki Kuu imesema taarifa hiyo sio sahihi na inalenga kuathiri imani ya Wananchi na wadau wa kimataifa kuhusu udhibiti wa fedha za Tanzania. Benki Kuu inaonya kuwa utoaji wa taarifa potofu unaathari kubwa kichumi.

No comments

+255716829257