Habari mpya

MPINZANI WA OBAMA AFARIKI

John McCAin aliyechuana na Barack Obama kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2008, amefariki akiwa na umri wa miaka 81. McCain alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ubongo.
McCain alikuwa mmoja kati ya wanasiasa wenye ushawishi nchini Marekani katika kizazi chake, akifahamika pia kama shujaa wa vita ya Vietnam na alishika nafasi ya Useneta wa jimbo la Arizona kwa mihula sita.

No comments

+255716829257