Habari mpya

Mbunge wa mbeya Mh Joseph mbilinyi‘Sugu’ afiwa na mama yake mzazi


Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha katika hospitali hiyo.

No comments

+255716829257