Habari mpya

TAZAMA PROF JAY ALIVYOCHANA MBELE YA JPM..

Image result for TAZAMA PROF JAY ALIVYOCHANA MBELE YA JPM..
Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule 'Profesa Jay' , amefungukia Rais Magufuli, kuhusiana na kero zinazowakabili wananchi wake wa jimbo la Mikumi ikiwa ni pamoja na uhaba wa maji pamoja na ubovu wa barabara. Profesa Jay ameyasema hayo katika ziara ya Rais Magufuli aliyoianza leo mkoani Morogoro, ambapo baada ya kusikiliza kero hizo Rais alimuomba ashushe mistari kidogo kwakuwa mbunge huyo ni mkongwe katika tasnia ya muziki nchini..
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI..



No comments

+255716829257