Habari mpya

NANI MKALI KATI YA BOSHOO NINJA NA KINYA MISTARI, SIKILIZA NYIMBO ZAO HAPA..

                     Image result for boshoo
Boshoo Ninja ni Rapper kutoka mkoani Tanga, Tanzania. Ni miongoni mwa wasanii waliofanya vizuri katika zile dakika kumi za maangamizi za Plannet Bongo ya East Africa Radio na kujifungulia njia ya kufahamika zaidi na inaonekana kuwa nafasi ya pekee ya chipukizi huyu wa miondoko ya Hip hop kuelekea main stream kama ataitumia vyema.
Tazama dakika kumi za maangamizi ya boshoo hapa chini..

Kinya Mistari ni Rapper mwingine aliyeziangamiza vyema dakika 10 za Plannet Bongo huku mashabiki wa muziki wa Hip hop Tanzania wakijaribu kuwafananisha Boshoo na Kinya katika uandishi na flowz.
Tazama dakika kumi za maangamizi za Kinya Mistari hapa chini..

Tumalize mzizi wa fitina kwa kuzisikiliza hits zao zote kwenye Dj mix hapo chini iliyobeba ngoma zao zote kali kisha tuone nani makali zaidi kati ya Boshoo Ninja na Kinya Mistari.
SIKILIZA DJ MIX BATTLE HAPA CHINI..

No comments

+255716829257