Habari mpya

FURAHA YA HARUSI


Image result for shela za kisasa
Binadamu ameumbwa na elementi chochezi za kuleta furaha, huzuni, hasira, kucheka, kuchukia n.k, lakini binadamu tuliowengi tukiwa tunafunga ndoa huwa tunajawa na furaha kubwa sana, lakini baada ya kuanza kuishi na mke au mume furaha inapotea kunazuka kuchukiana na ugonvi wakati mwingine.


 Ila kwa ushauri wangu nakuomba hata kama umefikia katika maisha ya kuishi na wako kipenzi nakuomba usimuchoke kwani kumchoka ndiyo chanzo cha ugonvi, kununiana, hasira nk



No comments

+255716829257